
Rapper T.I. na mfanyabiashara mwenzake Damon Cobbswanafungia kiota chao cha strippers mjini Atlanta mapema
Kwa mujibu wa TMZ, wawili hao wameajiri strippers 100.T.I. anajulikana kwa jinsi anavyomwaga hela kwenye vilabuvya aina hiyo hivyo si jambo la kushangaa kusikia akiajiriidadi hiyo kubwa ya wafanyakazi. Zaidi ya wanawake 1,600walijitokeza kwa usaili kutafuta ajira hiyo.
Wanawake hao walionesha makalio yao na kurekodiwakwenye camera.

Post a Comment