Unknown Unknown Author
Title: Darasa Asema Hili ,Baada ya Linah Kusema Anatamani Kuzaa na Mwanaume Mwenye Sifa Kama Zake
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya mwanadada   Linah Sanga  kusema anatamani kuzaa na mwanaume mwenye sifa kama za Darassa, rapa huyo wa wimbo ‘Kama Utanipenda’ amefu...


Baada ya mwanadada Linah Sanga kusema anatamani kuzaa
na mwanaume mwenye sifa kama za Darassa, rapa huyo wa
wimbo ‘Kama Utanipenda’ amefunguka na kuzungumzia kauli
hiyo.

Darassa amesema anaheshimu mawazo ya mwanadada 
huyo.
.
“Hiyo ni kauli yake, naheshimu mawazo yake. Nimefunzwa
kuheshimu maoni ya kila mtu, kwa hiyo sina la kuzungumza
zaidi ya hapo kwa sababu hizo ni issue za privacy za watu,”
alisema Darassa.

Katika hatua nyingine Darassa amewataka mashabiki wake
wa muziki kukaa mkao wa kula wa ujio wa kazi yake mpya
ambayo ataiachia katikati ya mwezi huu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top