Uongozi Changamoto Kubwa Ilikuwa Kumshawishi Belle 9 Ahamie Dar A+ A- Print Email Unknown Link Author Title: Uongozi Changamoto Kubwa Ilikuwa Kumshawishi Belle 9 Ahamie Dar Author: Unknown Rating 5 of 5 Des: Uongozi wa kampuni ya Vitamin Music Group unaomsimamia Belle 9, umedai kuwa mtihani mkubwa uliokuwa nao ni kumshawishi Belle 9 ahamie Dar. M... Uongozi wa kampuni ya Vitamin Music Group unaomsimamiaBelle 9, umedai kuwa mtihani mkubwa uliokuwa nao nikumshawishi Belle 9 ahamie Dar.Muimbaji huyo alihamia Dar mwaka jana baada ya kuendeleakuishi kwao Morogoro licha ya kuwa staa tayari.Akiongea kwenye XXL cha @cloudsfmtzwakati wa utambulishowa remix ya Bulger Movie Selfie, meneja wake alidai kuwailibidi Belle ahamie Dar kutokana na kuwa kitovu chaburudani Tanzania..“Ilikuwa ni issue ngumu sana kuweza kwasababu Belle 9 anafamilia kule kwahiyo kumtoa Morogoro kumleta Dar ilikuwa niissue kubwa sana,” alisema meneja wake.Amesema uamuzi huo ulirahisisha mambo mengi.
Post a Comment