Unknown Unknown Author
Title: Model Wa Video ya Nuh Mziwanda Afunguka Yeye Mzuri zaidi Ya Shilole
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shilole amepata mpinzani! Si mpinzani wa kawaida kama wengine bali ni msichana anayefanana naye kama pacha wake. Infact model huyo anaitwa Z...



Shilole amepata mpinzani! Si mpinzani wa kawaida kama
wengine bali ni msichana anayefanana naye kama pacha
wake.

Infact model huyo anaitwa Zena na ikumbukwe kuwa jina
halisi la Shishi ni Zuwena Mohamed!

Ni kama vile wawili hawa walipotezana siku ya kuzaliwa.
Anyway turejee kwenye pointi ya msingi. Unakumbuka Shilole
aliwahi kudai kuwa yeye ndiye muimbaji wa kike mrembo
kuliko wote Bongo? Zena aka Jike Shupa hakubaliani na hilo.
.
“Kwakweli mimi namuona wa kawaida tu,” Zena aliiambia
Clouds E. “Akumbuke na mimi mzuri kuliko yeye,” aliongeza
kwa madaha.

Tangu video ya wimbo huo itoke, uadui kati ya Nuh
Mziwanda na Shilole umeongezeka maradufu. Nuh ameitumia
video ya wimbo huo aliomshirikisha Alikiba kuonesha jinsi
uhusiano wake na Shishi ulivyokuwa na matatizo ikiwemo
kupigwa mara kwa mara na Shishi hajapenda!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top