Unknown Unknown Author
Title: Mr Blue: Sina Mpango Wa Kufanya Collabo Za Kimataifa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii Nyota Wa Mziki Wa Kizazi Kipya Hery Samir aka  Mr Blue Kama Anavojulikana Na Wengi Amesema Hana Haraka Ya  Kufanya Collabo Kimatai...

Msanii Nyota Wa Mziki Wa Kizazi Kipya Hery Samir aka Mr Blue
Kama Anavojulikana Na Wengi Amesema Hana Haraka Ya 
Kufanya Collabo Kimataifa Kwa Sababu Bado Anaangalia Ni 
Msanii Gani Anaweza Kufit Na Yeye.

.
"naangalia wa kufanya nae, hv sio vitu vya kukurupuka, sababu 
unaweza kufanya na isikusaidie chochote...., inahitaji umakini 
sio kufanya kwa sababu watu wanafanya hizo collabo za kimataifa 
basi eti na mimi nifanye". Alisema Kabayser

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top