Unknown Unknown Author
Title: Master J: Zamani Bei Ya Kurekodi Wimbo Ilikuwa Tsh 1 Milioni Lakini Sasa Hivi Ni Tsh 30,000
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amesema soko la watayarishaji wa muziki nchini limeshuka ambapo zamani amedai walikuwa wan...

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amesema
soko la watayarishaji wa muziki nchini limeshuka ambapo
zamani amedai walikuwa wanarekodi wimbo mmoja kwa tsh
1 milioni tofauti na sasa ambapo amedai ngoma moja
inarekodiwa kwa tsh 30,000.

Master J amesema hali hiyo imefanya maisha ya watayarishaji 
wengi wa muziki kuwa chini.
.
“Sisi tulianza kwa kulipwa tsh 5,000, 10,000 mpaka
tukafikisha tsh milioni 1 kwa kila nyimbo lakini sasa hivi
nasikia bei zimeshuka mpaka 60,000,” alisema Master J.


Aliongeza, “Kwam hiyo kwa maproducer game siyo zuri lakini
kwa wasanii game zuri sana. Wakati sisi wakati ule tulianza
kwa tsh 5000, 10000 mpaka sasa hivi ni tsh 30,000 maana
tsh 60,000 nawapendelea,”

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top