Unknown Unknown Author
Title: Yamoto Band Kuachia Ngoma Mpya Leo
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kundi la muziki wa kizazi kipya Yamoto Band leo watakuwa wanatambulisha wimbo wao mpya ulitwao SU ukiwa umefanywa chini ya Producer Shi...
Kundi la muziki wa kizazi kipya Yamoto Band leo watakuwa wanatambulisha wimbo wao mpya ulitwao SU ukiwa umefanywa chini ya Producer Shiriko katika ukurasa wa instagram wa Mkubwa
Fella mda mchache uliopita amesema "Wadau mzigo mpya wa vijana wetu wa mkubwa na wanawe ya moto band leo unatoka nyimbo inaitwa SU imetengenezwa na producer wetu @shirkomedia vijana wamemshirikisha mwana dada kutoka tht ruby tuna watakiwa mfungo mwema inshaallah wadau wetu"

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top