Unknown Unknown Author
Title: Rama Dee: Wasanii Hawana Haja ya Kwenda kufanya Video nje ya Tanzania
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa muziki wa R&B wa Tanzania, Rama Dee anashangaa jinsi wasanii wa muziki wa Tanzania wanavyokwenda nje kushoot video za muziki w...


  • Msanii wa muziki wa R&B wa Tanzania, Rama Dee
    anashangaa jinsi wasanii wa muziki wa Tanzania
    wanavyokwenda nje kushoot video za muziki wakati ndani
    wana kila kitu.

    Muimbaji huyo ambaye aliachia wimbo ‘Kipenda Roho’
    ambao unafanya vizuri, ameiambia #BBCkuwa haoni kama ni
    sahihi wasanii wa ndani kwenda kufanya video zao za muziki
    Afrika Kusini.
    .
    “Hapa hapa kwetu kuna watu wanaweza kutengeza video
    nzuri bila shaka,” alisema Rama Dee. “Mimi huwa siamini
    issue ya Afrika Kusini au wapi, mimi naamini ukiwa na idea
    nzuri, kamera nzuri na unaweza kushare idea na director,
    munaweza kufanya kitu kizuri sana,”
    .
    @Rama_deetz  yupu nchini Tanzania kimapumziko, kwa sasa
    anaishi na kufanya shughuli zake nchini Australia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top