Najiamini Kwa Kile nachokifanya ingawa sijafika napotaka kupafikia namini mungu atanisimamia nitafika Sana'a yangu ndio maisha yangu ndio maana ninakaza sana na kufanya kwa njaa kubwa tangu kwenye Movie kama Pumu,Akili Nyingi nazingine nyingine nyingi zinakuja.
Najua penye ukweli uongo ujitenga napenda mashabiki wangu waendele kusupport Harakati zangu nawahakikishia sita wangusha kwa kila nitakachofanya Mimi pamoja na team yangu ya pricerommyflm Alisema Prince Hdv muigizaji anayekuja kwa kasi katika tasinia ya filamu hapa nyumbani Tanzania Wakwetu.
Post a Comment