Pages

Saturday, June 18, 2016

Pam D : Nipe Nono Ndio Balaa Langu Jipya Mjini


Msanii Na Hit maker wa Nimempata na Popolipopo Pam D & Pam Daffa sasa Kuja na habari nyingne Itwayo Nipe Nono Mdundo huu ameufanya mahususi kabisa kuonyesha ujuzi wa kile anachokifanya kwa sasa katika Muziki huu wa hapa nyumbani na kumshirikisha Rapper Ney
Wamitego kwenye wimbo huo kuna mazuri mengi aliyo yasema na kusihi mashabiki kungoja kuanzia sasa wimbo utasikika Wakwetu Alisema Pam D.

No comments:

Post a Comment