Unknown Unknown Author
Title: Pam D : Nipe Nono Ndio Balaa Langu Jipya Mjini
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii Na Hit maker wa Nimempata na Popolipopo Pam D & Pam Daffa sasa Kuja na habari nyingne Itwayo Nipe Nono Mdundo huu ameufanya ma...

Msanii Na Hit maker wa Nimempata na Popolipopo Pam D & Pam Daffa sasa Kuja na habari nyingne Itwayo Nipe Nono Mdundo huu ameufanya mahususi kabisa kuonyesha ujuzi wa kile anachokifanya kwa sasa katika Muziki huu wa hapa nyumbani na kumshirikisha Rapper Ney
Wamitego kwenye wimbo huo kuna mazuri mengi aliyo yasema na kusihi mashabiki kungoja kuanzia sasa wimbo utasikika Wakwetu Alisema Pam D.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top