Mfalme Mzee Yussuf katika muonekano mwingine na ubora wake sasa hii ni video yake mpya kabisa akiwa kamshirikisha mwana dada V Money ,Vanessa Mdee wimbo unaitwa Hewallah umefanyika studio za C9 Rec chini ya Producer C9 na video Ikiongozwa na Director Aby Kaz pata nafasi ya kuitazama hapa sasa Wakwetu kabisa.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment