Pages

Tuesday, October 27, 2015

Teaser ya Video ya Don Poul na Iamyudatz Hii yapa Wife Material

Ni kionjo cha video ya msanii Don Poul akiwa na Iamyudatz (Mr Kido & MrAmazing) wimbo Wife Material Ni
Woju remix kwa kiswahili kutoka kwa msanii Kiss Daniel Wa Nigeria walipata nafasi ya kupewa na producer Wa Kiss Caburan na kufanya kitu kama hichi video inakuja hivi karibuni ka tayari kwa vijana hawa ikiwa video imefanywa na director Ivan kutoka Shine Studio.

No comments:

Post a Comment