Unknown Unknown Author
Title: Teaser ya Video ya Don Poul na Iamyudatz Hii yapa Wife Material
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni kionjo cha video ya msanii Don Poul akiwa na Iamyudatz (Mr Kido & MrAmazing) wimbo Wife Material Ni Woju remix kwa kiswahili kutoka k...
Ni kionjo cha video ya msanii Don Poul akiwa na Iamyudatz (Mr Kido & MrAmazing) wimbo Wife Material Ni
Woju remix kwa kiswahili kutoka kwa msanii Kiss Daniel Wa Nigeria walipata nafasi ya kupewa na producer Wa Kiss Caburan na kufanya kitu kama hichi video inakuja hivi karibuni ka tayari kwa vijana hawa ikiwa video imefanywa na director Ivan kutoka Shine Studio.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top