Unknown Unknown Author
Title: Listen/Download |Brand New Single: Riz Conc ft Sir Zulu - Sitaki Shari
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Riz Conc anatambulisha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'SITAKI SHARI', ambayo amemshirikisha rappa Sir Zulu. Itasikika kati...
Riz Conc anatambulisha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'SITAKI SHARI', ambayo amemshirikisha rappa Sir Zulu. Itasikika katika Radio mbali mbali za Bongo na nje ya nchi kuanzia leo

Nyimbo ya 'Sitaki Shari' imefanywa na producer ALONAME na kusimamiwa na Sudy Baya_KingMaarifa chini ya uongozi wa Pesasina Co. LTD.

Download na kusikiliza wimbo huu sasa.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top